General Appearance of fee
GENERAL FEE STRUCTURE 2020/2021
Na |
AINA YA MALIPO |
KIASI (Tsh.) |
1 |
Ada ya mafunzo (Tuition fees) |
2,000,000/= |
2 |
Gharama ya bweni (Hostel fees)kwa mwaka |
300,000.00 |
3 |
Ukaguzi wa viwango vya ubora (NACTE QUALITY ASSURANCE FEE) |
15,000.00 |
4 |
Fedha ya kitambulisho |
10,000.00 |
5 |
Fedha ya T-Shirt |
20,000.00 |
6 |
Ada ya Vitabu na maktaba |
50,000.00 |
7 |
Ada ya maktaba ya Computer |
50,000.00 |
8 |
Mchango wa umoja wa wanafunzi(Student union fees) |
10,000.00 |
9 |
Malipo ya Bima ya Afya (NHIF)kwa wasiokuwa na kadi ya bima ya Afya tu |
54,000.00 |
10 |
Gharama ya mtandao (Internet services for e-books) |
50,000.00 |
11 |
Fedha ya chakula kwa mwaka (unaweza kulipa awamu mbili au tatu |
700,000.00 |
|
JUMLA KUU PAMOJA NA CHAKULA |
3,259,000.00 |
NB;Malipo yamegawanywa kwa awamu tatu na pia unaweza kuomba ukalipa kadri utakavyoruhusiwa na uongozi,mzazi akiambiwa na mtoto wake kuwa kuna malipo yanahitajika nje ya ainisho hili apige simu chuoni na haturuhusu kumtumia mtoto fedha bila mpangilio ili kuepusha tabia zisizoridhisha